Camp Mulla : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Camp Mulla ni kikundi cha hip hop kutoka Nairobi, Kenya. Kikundi hiki kimepata mashabiki wengi kwa muda mfupi, kwa sasa wakiwa na zaidi ya mashabiki 30,000 kat...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 11:43, 30 Juni 2012

Camp Mulla ni kikundi cha hip hop kutoka Nairobi, Kenya.

Kikundi hiki kimepata mashabiki wengi kwa muda mfupi, kwa sasa wakiwa na zaidi ya mashabiki 30,000 katika Facebook, wafwasi 29,000 Twitter (zaidi kuliko msanii mkenya maarufu yeyote) na zaidi ya wafwasi 150 katika SoundCloud.