Nabii Isaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza hi:यशयाह
No edit summary
Mstari 1:
[[Nabii Isaya]] (kwa [[Kiyahudi]] '''יְשַׁעְיָהוּ''', yaani "YHWH anaokoa"), alizaliwa katika ufalme[[kuhani]] wa [[YudaYerusalemu]] (mwenye [[Israelielimu]] nzuri, alizaliwa Kusini mwaka 765 hivi [[K.K.]], akatabiri kwa muda usiopungua miaka 40 (740-700 hivi K.K.) akiingilia kati matukio yote ya [[siasa]], ambayo yalikuwa ya kutisha kutokana na nguvu za [[Waashuru]] ambao waliangamiza [[Israeli]] na kukaribia kufuta hata ufalme wa Kusini.
 
Maandishi yake yanapendeza kuliko yote, yahasa upande wa ushairi. Lakini ukuu wa ma[[nabiiIsaya]], uko hasa upande wa [[ushairi]]imani.
 
Kuanzia [[wito]] wake alioupata hekaluni, alipong’amua kwamba Mungu ni mtakatifu kabisa, yaani tofauti mno na yeyote na chochote (6), alitawaliwa na wazo la [[utukufu]] wa Mungu na la [[unyonge]] wa binadamu anayehitaji kutakaswa naye. Kwa msingi huo alidai wafalme na wananchi wote wa Yuda wamtegemee Mungu tu, si mataifa yenye nguvu, hata upande wa [[siasa]] na mbele ya [[hatari]] kubwa namna gani.
Lakini ukuu wa Isaya uko hasa upande wa [[imani]].
 
Lakini toka mwanzo aliambiwa hatasikilizwa, hivyo ikambidi atabiri [[adhabu]]. Kweli hali haikuwa [[shwari]], ndiyo sababu wengi walishindwa kuamini na kutulia, wakaendelea kujifanyia mipango na kutafuta [[msaada]] kutoka kwa [[binadamu]], hasa [[Farao]] wa [[Misri]]. Hapo Mungu alimuagiza Isaya atembee [[uchi]] mwaka mmoja unusu ili kudokeza kuwa Wamisri watafanywa [[watumwa]] wa [[Waashuru]] wasiweze kusaidia kitu (20:1-6).
Kuanzia [[wito]] wake (6) alitawaliwa na wazo la [[utukufu]] wa [[Mungu]] na [[unyonge]] wa [[binadamu]] anayehitaji kutakaswa naye.
 
Katika kutuliza watu alimtabiria [[mfalme]] [[Ahazi]] kwamba [[mwanamwali]] atamzaa [[mtoto]] wa kiume atakayethibitisha uwepo wa Mungu pamoja na watu wake, [[jina]] lake [[Emanueli]] linavyomaanisha. (7:1-17) Kweli [[mke]] wa Ahazi alimzaa [[Hezekia]] atakayeendeleza [[ufalme]] wa [[ukoo]] wa [[Daudi]], lakini [[utabiri]] huo ulimlenga zaidi [[Yesu]], [[mwana]] wa [[Bikira]] (walivyoelewa watafsiri wa kwanza wa [[Biblia]] katika [[Kigiriki]]) ambaye kweli ni Mungu pamoja nasi, na ni mwana wa Daudi ambaye atatawala [[milele]] kwa amani na haki (11:1-9).
Aliwadai wafalme wote wa Yuda wamtegemee Mungu tu, si mataifa yenye nguvu (7:1-8:18; 20:1-6; 22:1-14).
 
PamojaHivyo, pamoja na kufanyaadhabu hivyokwa alitabiri[[utovu]] wao wa imani (22:1-14), Isaya aliwatabiria watu wa [[Yuda]] kuwa Mungu hataangamiza kabisa taifa lake, bali ataacha mabaki yake ambayo yataleta [[wokovu]] (10:20-23): katika mabaki hayo [[Bikira]] (kwa [[Ukristo]] ndiye [[Bikira Maria]]) atamzaa [[Masiya]] ([[Yesu Kristo]]) ambaye ni [[Emmanueli]], yaani Mungu pamoja nasi, [[mwana wa Daudi]] ambaye ataleta [[amani]] na [[haki]] duniani.
Lakini toka mwanzo aliambiwa hatasikilizwa, hivyo ikambidi atabiri [[adhabu]].
 
Nafasi ya mwisho kwa Isaya kutuliza watu ilikuwa mwaka [[701 K.K.]] ambapo [[jeshi]] kubwa la Waashuru lilizingira Yerusalemu na kutamka maneno ya kumkufuru Mungu. Isaya aliwarudishia jibu la [[dharau]], nao kweli wakakimbia haraka baada ya kupatwa na [[tauni]].
 
Isaya ni maarufu pia kwa ubora wa ma[[shairi]] yake yaliyofanya ujumbe wake upendeze na uguse zaidi. Kwa sababu hiyo wengi walipenda kuyakariri na kuyasoma na hata kuiga mtindo wake: ndiyo maana kitabu chake kiliongezewa maandishi mengine mengi mpaka miaka mingi baada ya mwenyewe [[kifodini|kuuawa]] kwa kukatwa kwa [[msumeno]].
 
Pamoja na kufanya hivyo alitabiri kuwa Mungu hataangamiza kabisa taifa lake, bali ataacha mabaki yake ambayo yataleta [[wokovu]]: katika mabaki hayo [[Bikira]] (kwa [[Ukristo]] ndiye [[Bikira Maria]]) atamzaa [[Masiya]] ([[Yesu Kristo]]) ambaye ni [[Emmanueli]], yaani Mungu pamoja nasi, [[mwana wa Daudi]] ambaye ataleta [[amani]] na [[haki]] duniani.
 
== Viungo vya nje ==