Waarabu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza ckb:عەرەب
Mstari 22:
== Maskani ya Waarabu ya asli ==
 
Waarabu, kama tulivyoeleza hapo nyuma, mwanzo walikuwa wakiishi Yemen lakini baadaye wakaanza kutawanyika kwenye sehemu nyenginezo za [[Bara Arabu]], na kwa kuwa wengi wao walikuwa wakiishi maisha ya kibedui ya kusafiri kutoka mahali pamoja kwenda kwengine kutafuta chakula na maji kwa nafsi zao na wanyama wao, waliweza kuenea sehemu zote za [[Bara Arabu]] na kufika Shamu na Iraqi na Misri na Afrika ya Mashariki na Afrika ya Kaskazini.
 
Kutawanyika huku kulizidi kuwa na kasi baada ya kuvunjika bwawa lao kubwa lililokuwa Maarib huko Yemen lililokuwa likilimbika maji mengi kwa ajili ya ukulima na mabustani yao na malisho ya wanyama wao, na mtawanyo mkubwa wa pili ni baada ya kuja Uislamu na kuhitajia kupeleka watu sehemu mbali mbali ulimwenguni kueneza dini hii. Hapo ndipo Waarabu walipotawanyika kila mahali ulimwenguni kueneza neno la Mwenyezi Mungu na kufikisha ujumbe wake, na ndiyo maana leo tunaona Waarabu katika kila bara la mabara ya ulimwengu.