Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 38:
| [[Wakati]] || [[UTC]]+3
|----
| [[Dini za wakazi]] || [[Dini za jadi]] (34.3%), [[Ukristo]] (33.5%), [[Uislamu]] (31.4%), wengineo (0.8%){{[[Sensa]] ya [[27 Agosti]] [[1967]]<ref>[http://www.state.gov/g/drl/rls/irf/2007/90124.htm International Religious Freedom Report 2007: Tanzania]. United States [[Bureau of Democracy, Human Rights and Labor]] (September 14, 2007). ''This article incorporates text from this source, which is in the [[public domain]].''</ref>}}
| [[Dini za wakazi]] || [[Ukristo]] (33.3%), [[Uislamu]] (33.3%), [[wapagani/dini nyengine]] (33.3%){{Ukweli}}
 
|----
| [[Wimbo wa Taifa]] ||''[[Mungu ibariki Afrika]]''
Line 57 ⟶ 58:
Tanzania ni nchi kubwa zaidi kati ya wanachama wa [[Jumuiya ya Afrika ya Mashariki]].
 
Tanzania ni moja kati ya [[nchi maskini]] duniani ambazo zimefanikiwa kufutiwa madeni katika mpango wa kusamehe madeni wa [[Kundi la Nchi Nane]].

Pamoja na Tanzania kuwa kati ya nchi maskini duniani lakini ina maliasili na mali ghafimalighafi ambazo zikitumiwa vizuri taifa hili uchumi wake utakuautaweza kukua kwa haraka sana,Kuna: kuna madini ya dhahabu,alimasi almasi, n.k. Kuna bandari,Mlima mlima Kilimanjaro,Mbuga mbuga za wanyama kwa ajili ya vivutio vya utalii pamoja na Kilimokilimo.
 
Mji mkuu ni [[Dodoma mjini|Dodoma]], lakini makao makuu ya [[serikali]] ni bado [[Dar es Salaam]], jiji kubwa zaidi, lenye watu zaidi ya milioni tatu. Majiji mengine ni kama vile [[Mwanza (mji)|Mwanza]], [[Mbeya (mji)|Mbeya]], [[Arusha (mji)|Arusha]], [[Tabora (mji)|Tabora]] na [[Tanga (mji)|Tanga]].
Line 120 ⟶ 123:
{{Main|Dini nchini Tanzania}}
Nchi haina [[dini rasmi]] na [[katiba]] ya Tanzania inatangaza [[uhuru wa dini]] kwa wote. Mara nyingi idadi ya wafuasi wa [[dini]] hutajwa kuwa theluthi moja [[Uislamu|Waislamu]], theluthi moja [[Ukristo|Wakristo]] na theluthi moja wafuasi wa [[dini za jadi]]. Lakini tangu [[uhuru]] swali la dini ya wananchi halijaulizwa tena katika [[sensa]], kwa hiyo kadirio la theluthi-theluthi inawezekana ni zaidi azimio la kisiasa.
 
 
 
Kwenye visiwa vya [[Zanzibar]] idadi ya Waislamu huaminiwa kuwa takriban 97%.