YHWH : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Tetragrammaton scripts.svg|frame|right|[[Jina]] YHWH kwa [[alfabeti]] ya [[Kiebrania]] cha zamani ([[karne ya 10 KK]] hadi [[135]] [[BK]]), ya [[Kiaramu]] cha zamani (karne ya 10 KK hadi [[karne ya 4]] [[BK]]) na ya mraba ([[karne ya 3]] hadi sasa).]]
[[Image:BASILICA OF ST LOUIS KING OF FRANCE MISSOURI USA Near the Gateway Arch TETRAGRAMMATON.jpg|thumb|200px|Ukuta wa mbele wa [[Basilika ya Mt. Louis]], lililojengwa mwaka [[1834]] huko [[St. Louis, Missouri]], una jina hilo upande wa juu.]]
 
Herufi nne '''יהוה''' ('''YHWH''') ni [[konsonanti]] za jina la [[Mungu]] linalopatikana mara 6,828 hivi katika [[Biblia ya Kiebrania]] kuanzia [[Mwa]] 2:4. Halipatikani

Jina hilo halipatikani kabisa katika vitabu vya [[Wimbo Ulio Bora]], [[Kitabu cha Mhubiri]] na [[Kitabu cha Esta]].
 
[[Wayahudi]] walizidi kuliheshimu jina hilo hata wakaacha kulitamka wakati wa kulikuta katika Maandiko Matakatifu; badala yake walikuwa wanasoma אֲדֹנָי, Adonai, yaani '''Bwana'''.
 
Labda kwa sababu hiyo watafsiri wa kwanza wa [[Biblia]] kwenda [[lugha]] ya [[Kigiriki]] ([[LXX]]) walilitafsiri Κύριος, Kyurios, yaani '''Bwana'''.
 
Kwa kuzoea hivyo, katika kutoa ma[[dondoo]] ya [[Agano la Kale]], [[Wakristo]] wa kwanza walitumia [[tafsiri]] hiyohiyo.
 
Ndiyo sababu, katika [[Agano Jipya]] jina hilo halipatikani, isipokuwa kifupi kama Yah, hasa katika [[shangilio]] la Kiebrania ''[[Aleluya]]'', yaani ''Msifuni Bwana''.
 
==Herufi zenyewe==
[[Image:BASILICA OF ST LOUIS KING OF FRANCE MISSOURI USA Near the Gateway Arch TETRAGRAMMATON.jpg|thumb|200px|[[Ukuta]] wa mbele wa [[Basilika yala Mt. Louis]], lililojengwa mwaka [[1834]] huko [[St. Louis, Missouri]], una jina hilo upande wa juu.]]Herufi hizo nne, zikisomwa kutoka kulia kwenda kushoto ni:
:{| class="wikitable"
|-
! [[Kiebrania]] !! Jina la herufi !! Matamshi
|- valign=top
| <span style="font-size:170%;">{{Script/Hebrew|'''י'''}}</span>
| [[Yodh]]
| "Y"
|- valign=top
| <span style="font-size:170%;">{{Script/Hebrew|'''ה'''}}</span>
| [[He]]
| "H"
|- valign=top
| <span style="font-size:170%;">{{Script/Hebrew|'''ו'''}}</span>
| [[Waw]]
| "W", "O" au "U")
|- valign=top
| <span style="font-size:170%;">{{Script/Hebrew|'''ה'''}}</span>
| [[He]]
| "H" (au kimya mwishoni mwa neno)
|}
 
==Matamshi==
[[File:JEHOVAH at RomanCatholic Church Martinskirche Olten Switzerland Detail.JPG|thumb|Neno "Yehovah" kuonyeshwa katika [[kanisa]] ya [[Kanisa Katoliki|Katoliki]] la mwaka [[1521]], St Martinskirche katika Olten, [[ Uswisi]], 1521.]]
Matamshi sahihi ya jina hilo hayajulikani kwa hakika, lakini leo wengi wanalitamka Yahweh.
Kwa kuwa jina liliachwa kutajwa, na maandishi asili hayakuwa na [[vokali]], matamshi yake sahihi hayajulikani kwa hakika.
[[File:JEHOVAH at RomanCatholic Church Martinskirche Olten Switzerland Detail.JPG|thumb|Neno "Yehovah" kuonyeshwa katika kanisa ya Katoliki, St Martinskirche katika Olten, [[ Uswisi]], 1521.]]
 
Hata hivyo, leo wataalamu wengi wanakubaliana kulitamka Yahweh, si Yehova kama miaka ya nyuma.
 
[[Category:Mungu]]
[[Category:Biblia]]