Rhine : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.4) (Roboti: Imebadilisha: oc:Ren (fluvi)
d r2.7.3) (Roboti: Imebadilisha: ku:Reyn; cosmetic changes
Mstari 19:
'''Rhine''' ''(tamka: rain)'' (kwa [[Kijerumani]] '''Rhein''', [[Kifaransa]] '''Rhin''' na [[Kiholanzi]] '''Rijn''') ni kati ya mito mirefu ya [[Ulaya]].
 
== Chanzo na nchi inapopita ==
[[Picha:Rhein-Karte.png|thumb|left|250px|Ramani ya Rhine]]
Ina chanzo chake katika milima ya Uswisi. Inapita katika [[Uswisi]], [[Ujerumani]] na [[Uholanzi]]; mwendo wake ni pia mpaka kati ya Uswisi na [[Liechtenstein]], Uswisi na [[Austria]] halafu Ujerumani na [[Ufaransa]].
Mstari 25:
Mpakani kati ya Uswisi na Ujerumani mto inapita katika [[ziwa la Konstanz]] (au: Bodensee).
 
== Njia ya maji ==
Kuanzia mji wa Rheinfelden hadi Rotterdam kwa urefu wa zaidi ya 800 km mto unapitika kwa meli za mtoni.
 
Mstari 32:
Kihistoria Rhine pamoja na mto Danubi ilikuwa mpaka wa kakazini ya Dola la Roma.
 
== Delta ya Rhine ==
Ndani ya Uholanzi mto hujigawa kuwa na mikono mikubwa miwili inayoitwa Waal na Lek. Mbele ya mji wa Rotterdam inaungana tena kuwa mto mmoja.
 
Mstari 107:
[[ko:라인 강]]
[[ksh:Rhing]]
[[ku:RênReyn]]
[[la:Rhenus]]
[[lb:Rhäin]]