Keely Shaye Smith : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Keely Shaye Smith
Keely Shaye Smith
Mstari 1:
[[Image:Keely Shaye Smith 2.PNG|thumb|right|160px|Keely Shay Akiwa na Mumewe [[Pierce Brosnan]] na mtoto Wao]]'''Keely Shaye Smith''' ni Mwandsihi wa Habari wa Marekani. Ameolewa na Muigizaji [[Filamu]] [[Pierce Brosnan]] Mnamo mwaka [[2001]] Baada ya mkewe Brosnan Kufariki Dunia [[Cassandra Harris]], Kwa Pamoja wana Watoto Wawili wa Kiume, na pia Brosnan ana watoto Wengine Wawili Aliozaa na Marehemu Cassandra Harris.
 
Smith anatoa Huduma Kama Mwandishi aliyepokea Kipindi cha Televisheni Kilichokuwa Kinatangazwa na "Robert Stack" Ambaye Alifariki Dunia Tarehe [[14 Mei]], [[2003]], Kipindi Kilikuwa Kinaitwa "Unsolved Mysteries", Kilichokuwa Kinarushwa Hewani na Televishe ya Lifetime Hadi [[1997]].
 
{{Mbegu}}