Usiku : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza si:රාත්‍රිය
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza hy:Գիշեր; cosmetic changes
Mstari 1:
{{unsourced|date=January 2010}}
[[FilePicha:Earthlights dmsp.jpg|right|thumb|350px|Diunia wa kati wa usiku; picha hii imeunganishwa kutokana na picha mbalimbali zilizopigwa na chomboanga. Hali halisi hakuna wakati ambako eneo lote linaloonekana liko gizani wakati mmoja. Nukta nyeupe upande wa kulia ni nuru ya miji wakati wa giza]]
[[Picha:Nightfall europe-and-afrika 20050507-184500.jpg|thumb|350px|Mpaka wa usiku na mchana wakati wa jioni jinsi inavyoonekana kutoka chomboanga juu ya Afrika na Ulaya]]
'''Usiku''' ni kipindi cha [[siku]] kilichopo kati ya [[machweo]] na [[macheo]] na hasahasa kipindi cha giza kinachotokea baada ya macheo ambako mwanga wa jua hauonekani tena angani hadi muda mfupi kabla ya machweo yaani kabla ya jua kuonekana juu ya upeo wa anga. Kinyume chake ni [[mchana]].
Mstari 6:
Kutokana na kupotea kupotea kwa nuru ya jua nyota zinaonekana usiku (pasipo na mawingu). Watu wengi hulala usiku pamoja na wanyama wengi lakini kuna wanyama wengine wanafanya shughuli zao kwenye usiku kama vile [[bundi]], [[popo]] na wadudu wengi.
 
== Nyakati za usiku ==
Nyakati za chanzo na mwisho wa usiku hutofautiana kati ya mahali duniani. Mstari unaofikiwa na mwanga wa jua unatembea juu ya uso wa dunia kutokana na mzunguko wa dunia kwenye mhimili wake. Mwendo huu ni sababu ya kugawiwa kwa uso wa dunia katika [[kanda muda]].
 
Mstari 13:
Usiku mrefu kabisa hutokea kwenye ncha za dunia ambako wala jua wala utusitusi hazionekani angani kwa muda wa karibu miezi 3.
 
== Utamaduni ==
Katika tamaduni za binadamu usiku mara nyingi ina maana mbaya kutokana na matatizo ya kuona vema na hofu ya vitu visivyoonekana katika kipindi hiki.
 
{{Wiktionary}}
 
[[CategoryJamii:Parts of a day]]
 
[[Category:Parts of a day]]
 
[[af:Nag]]
Line 56 ⟶ 55:
[[ht:Nwit]]
[[hu:Éjszaka]]
[[hy:Գիշեր]]
[[id:Malam]]
[[io:Nokto]]