Ukristo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 57:
 
Na hapa ndio kuna fumbo kuhusu Kristo ni nini; Kristo ni ufahamu wenye nuru isiyotoka kwenye vitu vya dunia hii ya maada. Bali yenyewe ni itakayo kwenye utukufu wa Roho. Nafsi Hufa. Roho ni ule uzima, ni lile NENO. Neno kwa maana kwamba lilifanyika na kujidhirisha katika ulimwengu huu wa maada. Ulimwengu huu ni mfano wa utukufu wa mbingu. Uliofinywa katika sura ndogo. Yaonekayo katika ulimwengu huu mdogo, ndiyo yale yale yapatikanayo katika Sura ya Ukumbwa usio na mwisho. Kama ilivyo juu, ndivyo ilivyo chini.<p>
 
Kwa shauri hili ndiyo Ukristo ulivyojengwa. Kukombolewa na dhambi ya Asili ili kuurithi uzima wa kiroho katika Kristo; neno la uzima. Neno la uzima huchukuliwa na wengi kama maandiko lakini kwa kweli si sahihi. Kwani ni kwa ''Nia'' ya Kristo ndipo mtu hutambua. Neno la uzima ni Roho yaani Ufalme wa Mbingu, ufalme wa Mpanzi. Yeye Hupanda mbegu chini na hali Mbingu na nchi ni siri moja. Penye Mbegu sura ya Zao huhifadhika na kuja kufanya zao la uumbaji, na kwenye zao hilo hilo siri huja kuhifadhika kama mbegu. Na hivyo penye mwisho ndipo penye mwanzo na penye mwanzo, mwisho huwa katika namna ingine. Alfa na Omega. Navyo huwa pamoja milele yote. Ndivyo umistiya wa Kikristu unavyoelekeza.<p>
 
</blockquote>
 
=== Mashahibiano Ya Kiitikadi na Mafundisho Mengine===