Ukristo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 208:
Mtu Paulo anazungumza hivi kuhusu wafu, ufufuko wa miili ya utukufu na roho kwa kanisa la Korintho:
 
<blockquote>
 
''' ''Mwili Wa Kufufuka'' '''
 
''' ''Mwili Wa Kufufuka'' '''<p>
''Lakini labda mtu atasema, 'Wafufuliwaje wafu?' Nao huja kwa mwili gani? Ewe mpumbavu ! uipandayo haihuiki, isipokufa; nayo uipandayo, huupandi mwili ule utakaokuwa, ile chembe tupu, ikiwa ni ngano au nyingineyo; lakini mungu huipa mwili kama apendavyo, na kila mbegu na mwili wake. Nyama yote si nyama moja; ila nyingine ni ya wanadamu, nyingine ya hayawani, mingine ya ndege, nyingine ya samaki. Tena '''kuna miili ya mbinguni, na miili ya duniani;''' lakini '''fahari yake ile ya mbinguni ni mbali, na fahari yake ile ya duniani ni mbali'''. Kuna fahari moja ya '''Jua''', na fahari nyingine ya '''Mwezi''', na fahari nyingine ya '''Nyota'''; maana iko tofauti ya fahari hata kati ya nyota na nyota. Kadhalika na ufufuo wa Wafu. Hupandwa katika uharibifu; hufufuliwa katika kutoharibika; hupandwa katika aibu; hufufuliwa katika fahari; hupandwa katika udhaifu; hufufuliwa katika nguvu; hupandwa mwili wa asili; hufufuliwa '''mwili wa Roho'''.
 
''Lakini labda mtu atasema, 'Wafufuliwaje wafu?' Nao huja kwa mwili gani? Ewe mpumbavu ! uipandayo haihuiki, isipokufa; nayo uipandayo, huupandi mwili ule utakaokuwa, ile chembe tupu, ikiwa ni ngano au nyingineyo; lakini mungu huipa mwili kama apendavyo, na kila mbegu na mwili wake. Nyama yote si nyama moja; ila nyingine ni ya wanadamu, nyingine ya hayawani, mingine ya ndege, nyingine ya samaki. Tena '''kuna miili ya mbinguni, na miili ya duniani;''' lakini '''fahari yake ile ya mbinguni ni mbali, na fahari yake ile ya duniani ni mbali'''. Kuna fahari moja ya '''Jua''', na fahari nyingine ya '''Mwezi''', na fahari nyingine ya '''Nyota'''; maana iko tofauti ya fahari hata kati ya nyota na nyota. Kadhalika na ufufuo wa Wafu. Hupandwa katika uharibifu; hufufuliwa katika kutoharibika; hupandwa katika aibu; hufufuliwa katika fahari; hupandwa katika udhaifu; hufufuliwa katika nguvu; hupandwa mwili wa asili; hufufuliwa '''mwili wa Roho'''.<p>
''Ikiwa uko mwili wa asili, '''na wa roho pia uko.''' Ndivyo ilivyoandikwa: mtu wa kwanza, Adamu, '''akawa nafsi iliyo hai;''' Adamu wa mwisho ni '''Roho yenye '''kuhuisha.''' lakini hautangulii ule wa Roho, bali ule wa asili; baadaye huja ule wa roho. Mtu wa kwanza atoka katika '''nchi,''' ni wa udongo. Mtu wa pili ni '''atoka mbinguni. Kama ilivyo yeye wa udongo, ndivyo walivyo walio wa udongo; na kama '''alivyo yeye wa mbinguni, ndivyo walivyo walio wa mbinguni.''' Na kama tulivyoichukua sura yake yule wa udongo, '''kadhalika tutaichukua sura yake yeye aliye wa mbinguni.''' Ndugu zangu, nisemayo ni haya, ya kuwa nyama na damu '''haziwezi kuurithi ufalme wa mungu; wala uharibifu kurithi kutokuharibika.''' ''
 
''Ikiwa uko mwili wa asili, '''na wa roho pia uko.''' Ndivyo ilivyoandikwa: mtu wa kwanza, Adamu, '''akawa nafsi iliyo hai;''' Adamu wa mwisho ni '''Roho yenye '''kuhuisha.''' lakini hautangulii ule wa Roho, bali ule wa asili; baadaye huja ule wa roho. Mtu wa kwanza atoka katika '''nchi,''' ni wa udongo. Mtu wa pili ni '''atoka mbinguni. Kama ilivyo yeye wa udongo, ndivyo walivyo walio wa udongo; na kama '''alivyo yeye wa mbinguni, ndivyo walivyo walio wa mbinguni.''' Na kama tulivyoichukua sura yake yule wa udongo, '''kadhalika tutaichukua sura yake yeye aliye wa mbinguni.''' Ndugu zangu, nisemayo ni haya, ya kuwa nyama na damu '''haziwezi kuurithi ufalme wa mungu; wala uharibifu kurithi kutokuharibika.''' ''<p>
''Angalieni, nawaambia ninyi '''siri:''' Hatutalala sote, lakini sote tutabadilika, kwa dakika moja, kufumba na kufumbua,wakati wa parapanda ya mwisho; maana parapanda italia, na wafu watafufuliwa, wasiwe na uharibifu,nasi tutabadilika. Maana Sharti uharibikao uvae kutokuharibika, nao huu wa kufa uvae kutokufa. Basi huu uharibikao utakapovaa kutokuharibika, na huu wa kufa utakapovaa kutokufa, hapo ndipo ndipo litakapokuwa lile neno lililioandikwa: ''
 
''Angalieni, nawaambia ninyi '''siri:''' Hatutalala sote, lakini sote tutabadilika, kwa dakika moja, kufumba na kufumbua,wakati wa parapanda ya mwisho; maana parapanda italia, na wafu watafufuliwa, wasiwe na uharibifu,nasi tutabadilika. Maana Sharti uharibikao uvae kutokuharibika, nao huu wa kufa uvae kutokufa. Basi huu uharibikao utakapovaa kutokuharibika, na huu wa kufa utakapovaa kutokufa, hapo ndipo ndipo litakapokuwa lile neno lililioandikwa: ''<p>
 
Mauti imemezwa kwa kushinda.
Ku wapi, ewe mauti, kushinda kwako?
U wapi, ewe mauti, uchungu wako?<p>
 
''Uchungu wa mauti ni dhambi, na nguvu za dhambi ni torati. Lakini Mungu na ashukuriwe atupaye kushinda kwa Bwana Wetu Yesu Kristo! ''. ''' '' 1 Wakorintho 15:35-57'' '''
 
</blockquote>
''Uchungu wa mauti ni dhambi, na nguvu za dhambi ni torati. Lakini Mungu na ashukuriwe atupaye kushinda kwa Bwana Wetu Yesu Kristo! '' ''' ''1 Wakorintho 15:35-57'' '''
 
Hivyo dhana ya ufufuko una sura isiyo ya kimaada. Na tena una fahari kama mambo ya mbingu yenye kudumu zaidi na milele yake.