Ukristo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 87:
Mafundisho ya msingi ya Uiislamu ni unyenyekevu kwa ''Mola mmoja'' aiitwaye ''' ''Allah'' ''', mwingi wa rehema na mwingi wa fadhila; na nguzo ya Uiislamu nikumuabudu. Hii inafanana kabisa na neno lenye kusema kwamba Ufalme Wa Mbingu wenye kujidhirisha kama Kristo ''Mmoja'' (UPekee), aliyefanyika katika mwana wa Adamu (Yesu) aliyezaliwa mara ya pili kiroho wakati akubatizwa na Yohana katika mto Yordani; '''Yohana 3:3-15''', Halafu tena:
 
<blockquote>
 
''Kwa Maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa mwanae wa pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. Maana Mungu hakumtuma Mwana Ulimwenguni ili ahukumu Ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye. Amwaminiye yeye hahukuiwi; asiyeamini amekwisha hukumiwa, kwa sababu hakuliamini Jina la Mwana Pekee wa Mungu. Na hii ndiyo hukumu; ya kuwa Nuru imekuja ulimwenguni, na watu wakapenda giza kuliko nuru, matendo yake yasije yakakemewa. Bali yeye aitendaye kweli huja kwenye nuru, ili matendo yake yaonekane wazi ya kuwa yametendwa katika Mungu.'' ''' ''Yohana 3:16-21.'' '''<p>
</blockquote>
 
 
Line 96 ⟶ 97:
Katika Uiislamu, unyenyekevu wake katika kumcha Mola kwa Ibada na Swala humpa kukirimika na kuhififadhika kwa mola wake mwenye fadhila, naye atamtunuku haki yake. Naye mnyenyekevu kwa mola ataishi kuona utukufu mwingi wa Mola wenye kutajwa katika kuran takatifu kama majina 99 ya Allah. Na kati ya sifa na Utukufu huo ulio na majina mengi; baadhi yake ni '''Al Rahman''' (Kiarabu, mwenye rehema), '''Al Nur '''( Mwenye Nuru) na kadhalika. Ndivyo hivyo kufanya kufanana na neno la ''Nuru ya Bwana, rehema na ukombozi'' kuwa utukufu wa Mbingu; katika mwongozo wa kikristu. Na Muislamu kwa kiasi cha wingi wa unyenyekevu wake, usafi wa moyo wake huakisi sifa za mola wake. Nalo lafanana Maneno ya Mtume Paulo kwa watumishi wa injili huko korintho:
 
<blockquote>
 
'' Basi pana tofauti za karama; bali Roho ni yeye yule. tena pana tofauti za huduma, na Bwana ni yule yule. Kisha pana tofauti za kutenda kazi, bali Mungu ni yule yule azitendaye kazi katika wote. '' ''' '' 1 Wakorintho 12:4-6 '' '''<p>
</blockquote>
 
 
Line 105 ⟶ 107:
Hilo lafananishwa Katika Kristo, na neno la Upendo ulio mkuu kwa vitu vyote kutoka kwenye kitovu cha unafsi:
 
<blockquote>
''' ''Upendo kati ya Ndugu'' '''
 
'' Nijaposema kwa lugha za wanadamu na za malaika,
kama sina upendo,... mimi si kitu kabisa. '' ''' ''1 Wakorintho 13:1-11'' '''<p>
</blockquote>