Ukristo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 197:
Mtume Paulo anazungumza hivi:
 
<blockquote>
Maana kama vile mwili ni mmoja, nao una viungo vingi, na viungo vyote vya mwili ule, navyo ni vingi, ni mwili mmoja; vivyo hivyo na Kristo. Kwa maana katika Roho mmoja sisi sote tulibatizwa kuwa mwili mmoja, kwamba tu Wayahudi, au kwamba tu wayunani; ikiwa tu watumwa au tu huru; nasi sote tulinyweshwa Roho mmoja. '''1 Wakorintho 12:12-13'''<p>
 
Na Mungu ameweka wengine katika Kanisa, wa kwanza mitume, wa pili manabii, wa tatu waalimu, kisha miujiza, kisha karama za kuponya wagonjwa, na msaidiano, na maongozi, na aina za lugha. Je, wote ni mitume? Wote ni manabii? Wote ni waalimu? Wote wanena kwa lugha? Wote wafasiri? Takeni sana Karam zilizo Kuu. Hivyo nawaonyesha njia iliyo bora. '''1 Wakorintho 12:28-31'''.<p>
Maana kama vile mwili ni mmoja, nao una viungo vingi, na viungo vyote vya mwili ule, navyo ni vingi, ni mwili mmoja; vivyo hivyo na Kristo. Kwa maana katika Roho mmoja sisi sote tulibatizwa kuwa mwili mmoja, kwamba tu Wayahudi, au kwamba tu wayunani; ikiwa tu watumwa au tu huru; nasi sote tulinyweshwa Roho mmoja. '''1 Wakorintho 12:12-13'''
</blockquote>
 
Na Mungu ameweka wengine katika Kanisa, wa kwanza mitume, wa pili manabii, wa tatu waalimu, kisha miujiza, kisha karama za kuponya wagonjwa, na msaidiano, na maongozi, na aina za lugha. Je, wote ni mitume? Wote ni manabii? Wote ni waalimu? Wote wanena kwa lugha? Wote wafasiri? Takeni sana Karam zilizo Kuu. Hivyo nawaonyesha njia iliyo bora. '''1 Wakorintho 12:28-31'''.