Ukristo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 128:
'' Wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu, nitalijenga kanisa langu. Wala milango ya kuzimu haitalishinda. ''
</blockquote>
 
 
Tafsiri ya vitabu vya Biblia imeathirika sana na kuchukulika maana ya maneno kutoka desturi ya watu fulani hata wengine. Na kwa kweli kuanzia miaka ya 325 BK maandiko yake yamedumu kwa hifadhi ya kanisa la mwanzo la Rumi ambalo lina historia ndefu ya kushikilia mamlaka ya maandiko ya vitabu vingi vya Injili za mwanzo na hata kuzuia vingine zisiwe rasmi. Na hivyo kukusanywa na kuhifadhiwa sehemu maalum ambayo ipo hadi hii leo huko katika mji wa Vatican ('' taz. '' Archivum Secretum Apostolicum Vaticanum ) ndani ya maktaba ya siri.
Line 142 ⟶ 141:
Kuna Mafundisho madogo yatokanayo na maandiko ambayo huzungumza kidogo na kwa namna isiyojitosheleza kuhusu roho ni nini na ikoje. Katika tafsiri ya kiswahili kwa mfano; neno roho limepwaya sana. Mambo yote yasiyoonekana kwa macho yamepewa tafsiri moja ya neno roho. Lakini kwa kweli kuna vitu mbali mbali vyenye kuchipukia kutoka yale yasiyo onekana na kukosa shauri mintarafu yake. Nafsi, roho na mwili hutanjwa kama utatu wa kimsingi; bali katika roho kuna sura nyingi zingumziwazo.
 
<blockquote>
 
''Na walipokuwa mlimani, Yesu aliwaagiza, akasema, msimwabie mtu yeyote habari ya maono hayo, hata mwana wa Adamu atakapofufuka katika wafu. Wanafunzi wake wakamwuliza, wakisema, Basi kwa nini waandishi hunena ya kwamba imempasa Eliya kuja kwanza? Naye akajibu, akawaambia, kweli Eliya yuaja kwanza, naye atatengeneza yote; ila nawaambia, yaa kwamba Eliya amekwisha kuja, wasimtambue, lakini wakamtenda yote waliyotaka. Vivyo hivyo Mwana wa Adamu naye yuaenda kuteswa kwao. Ndipo wale wanafunzi walipofahamu ya kuwa amesema nao habari za Yohana Mbatizaji.'' ''' Mathayo 17:9-18'''.<p>
</blockquote>
 
 
Hapo kuna shauri kwamba nabii Eliya alizaliwa tena na kuwa Yohana Mbatizaji aliyezaliwa kutoka tumbo la mwanamke aliyeitwa Elisabethi, mke wa kuhani Zakaria, ''Luka 1:8-24''. Naye aliishi na kuenenda kwa roho ya Eliya. Hivyo kuonesha dalili ya roho huweza kutwaa mwili na kuzaliwa tena na tena.