Utoaji mimba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (Roboti: Imebadilisha: pt:Aborto
Mstari 14:
Utoaji mimba ambao unatumia dawa huchangia 10% ya utoaji mimba wote ndani ya Marekani na Ulaya.
 
Iwapo itashindikana kutoa mimba kwa njia hiyo, usafishaji wa ombwe au uondoaji kwa mikono hutumika.
 
=== Upasuaji ===