Ajali ya Helikopta ya Polisi 2012, Kenya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nimeanzisha makala
 
picha imeongezwa
Mstari 1:
[[File:RAN squirrel helicopter at melb GP 08.jpg|right|Mfano wa ndege kama hiyo ilitohusika katika ajali]]
'''Ajali ya Helikopta ya Polisi 2012, Kenya''' ilikuwa ajali iliyohusisha ndege iliyoanguka ya aina ya helikopta iliyomilikiwa na Kenya Polisi mnamo Juni 10, 2012. AS350 Eurocopter ilianguka juu ya mlima, na kuua abiria wote sita na wafanyakazi waliokuwepo. Kati ya walioaga dunia ni aliyekuwa Waziri wa mambo ya ndani na Usalama wa Kenya [[George Saitoti]] na Waziri wake Msaidizi [[Joshua Orwa Ojode]].