Metali adimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: {| style="text-align: center; border: thin solid black; margin-left: 1em; margin-bottom: 1em; float: right" |+ '''Metali adimu katika Mfumo radidia wa elementi za kikemia''': ...
 
No edit summary
Mstari 134:
'''Metali adimu''' ni [[metali]] zenye tabia ya kutomenyuka kirahisi. Haziguswi na maji au oksijeni za hewa tofauti na metali nyingi. Mara nyingi hutazamiwa kuwa metali za thamani kwa sababu zinadumu na kuwa haba.
 
Mifano yake ni [[dhahabu]] (auri), [[fedha]] (ajenti), [[shaba]] (kupri), [[tantali]], [[platini]], [[paladi]] na [[rhodi]]. Kuhusu shaba maoni hutofautiana kama inahesabiwa humo.
 
Elmenti sintetiki za [[Bohri]], [[Hassi]], [[Meitneri]], [[Darmstati]] na [[Roentgeni]] zatazamiwa pia kama metali adimu hata kama hazina matumizi kutokana maisha mafupi ya elementi hizi.
 
==Matumizi ya metali adimu==
 
 
[[Image:Edelmetalle.jpg|thumb|300px|left|Metali adimu zote (isipokuwa elementi sintetiki)]]
Metali adimu hasa dhahabu na fedha zilitumiwa kwa mapambo ya thamani kwa watu. Katika utamaduni mbalimbali dhahabu ilikuwa metali ya mfalme au mwene.
 
Zilifaa pia kwa biashara kwa sababu zilitafutwa na watu kote zikabebwa kirahisi na kudumu. Hivyo vipande vya metali hizi vilipimwa kufuatana uzito na kutumiwa kwa biashara. Baadaye vipande vyenye uzito maalumu viligongwa mhuri na kuwa chanzo cha [[pesa]].
 
 
[[Category:Metali]]
 
[[Image:Edelmetalle.jpg|thumb|300px|left|Metali adimu zote (isipokuwa elementi sintetiki)]]
 
[[da:Ædelmetal]]
[[de:Edelmetalle]]
[[en:Noble metal]]
[[es:Metal noble]]
[[fi:Jalometalli]]
[[fr:Métal noble]]
[[id:Logam mulia]]
[[ko:귀금속 (화학)]]
[[lb:Edelmetall]]
[[no:Edelmetall]]
[[pl:Metal szlachetny]]
[[ru:Благородные металлы]]
[[sk:Drahý kov]]
[[sv:Ädelmetall]]