Peter Kenneth : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nimeanzisha makala
(Hakuna tofauti)

Pitio la 09:52, 18 Julai 2012

Peter Kenneth (aliyezaliwa Novemba 27, 1965) ni mwanasiasa wa Kenya. Yeye anatoka katika jamii ya Muhuni wa eneo la Sub-Kirwara katika eneo bunge la Gatanga huko kaunti ya Murang'a

Picha ya Peter Kenneth