Tofauti kati ya marekesbisho "Gallia"

No change in size ,  miaka 13 iliyopita
kiungo
d (robot Adding: an:Galia)
(kiungo)
 
==Eneo la Gallia==
Gallia ilikuwa jina la [[kilatini]] kwa ajili maeneo yaliyokaliwa na "Wagallia". Hili ilikuwa namna jinsi [[Roma laya kaleKale|Waroma wa kaleKale]] walivyowaita majirani wao [[Wakelti]].
 
Kijiografia eneo hili lilijumlisha [[Ufaransa]], [[Uswisi]], [[Ubelgiji]] na [[Italia]] ya Kaskazini ya leo. Wakelti au Wagallia walikalia pia [[Uingereza]] ya Kusini (=[[Britannia]]) na [[Hispania]] (=[[Iberia]]) lakini maeneo haya hayakuhesabiwa kuwa sehemu ya "Gallia" na Waroma. Wakelti walikuwa pia kati ya wakazi wa kale wa [[Ujerumani]] kabla ya uvamizi huko wa [[kigermanik|Wagermanik]] wenyewe.