Moshi William : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''TX Moshi William''' ni mmoja wa wanamuziki mahiri wa [[muziki wa dansi]] nchini [[Tanzania]]. Moshi William alifariki dunia Machi 29, 2006 na kuacha mke mmoja na watoto wanne na aliweza kurekodi albamu 13. Kwa miaka mitatu mfululizo, Moshi William alitunukiwa tuzo ya kitaifa ya utunzi bora (2003, 2004, 2005.)
 
[[Image:wiki.jpg|frame|Moshi_William]]