Peter Kenneth : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d ongeza mabadiliko madogo
nimeboresha makala
Mstari 1:
{{mwanasiasa
| jina =MwaiPeter KibakiKenneth
| nchi =Kenya
| picha =Assistant Minister Peter Kenneth.jpg
| maelezo_ya_picha =Peter kenneth
| cheo 1 = Waziri msaidizi Wizara ya Mipango, <br>Maendeleo na Vision 2030
| bunge la =
| jimbo la uchaguzi = [[Jimbo la Uchaguzi la Gatanga|Gatanga]]
Mstari 11:
| alirudishwa mwaka =
| aliondoka =
| cheo 2 =
| kuingia 2 =2002
| kutoka 2 =
Mstari 29:
Peter Kenneth (aliyezaliwa Novemba 27, 1965) ni mwanasiasa wa [[Kenya]]. Yeye anatoka katika jamii ya Muhuni wa eneo la Sub-Kirwara katika eneo bunge la [[Jimbo la Uchaguzi la Gatanga|Gatanga]] huko kaunti ya [[Murang'a]]
 
== Maisha ya awali na kazi==
Peter Kenneth alihudhuria Shule ya Msingi ya Uhuru (CPE) huko Bahati na baadaye akajiunga na shule ya upili ya Starehe Boys kwa masomo yake ya ngazi ya 'O' al maruf ''O levels''. Yeye ni mmiliki wa shahada ya sheria kutoka [[Chuo Kikuu cha Nairobi|Chuo Kikuu cha Nairobi]], na Mtendaji wa Taasisi ya Mpango wa Kimataifa wa Maendeleo ya Usimamizi cha Lausanne, Uswisi. Yeye pia alisomea uhasibu na uana benki pamoja na masomo ya bima.Baada ya kufuzu kama mwanabenki alifanya kazi katika taasisi kadhaa.