Ramadan (mwezi) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza sah:Рамадан
No edit summary
Mstari 5:
Mwisho wa Ramadan ni [[sikukuu]] ya [[Idul Fitri]] (عيد الفطر - ʿīdu ʾl-fiṭr) ambayo ni sherehe ya furaha na kupongezana. Wailsmu hutoa [[zakat]] (zakatul-fitri زكاة الفطر) na kusali baadaye hukutana kwenye karamu.
{{mbegu-dini}}
 
ni mwezi ya waislamu kufunga, waislamu wanajizui kula, kunywa na kufanya mapenzi toka alfajiri hadi magharibi.
waislamu hufunga mwezi huu wa ramadani na huswali sana na kusoma quran kwa wingi.
 
katika quran
sura 2 aya 185, ,, Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur'ani kuwa ni uwongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi. Basi ataye kuwa mjini katika mwezi huu naafunge. Na mwenye kuwa mgonjwa au safarini, basi atimize hisabu katika siku nyengine. Mwenyezi Mungu anakutakieni yaliyo mepesi wala hakutakieni yaliyo mazito, na mtimize hiyo hisabu, na mumtukuze Mwenyezi Mungu kwa kuwa amekuongoeni ili mpate kushukuru
 
[[Jamii:Uislamu]]