Taasisi ya Taaluma za Kiswahili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 11:
Kutafiti na kuchapisha matokeo ya utafiti katika nyanja mbalimbali za Lugha, Isimu na Fasihi ya Kiswahili, TATAKI inasimamia Tafsiri na Ukalimani. Inafundisha Kiswahili kama lugha ya pili hasa kwa wageni kutoka nje ya ulimwengu wa Waswahili na kuendeleza utungaji wa Kamusi mbalimbali zinazohusiana na Kiswahili.
Kati ya kamusi hizi ni
* [[Kamusi ya Kiswahili sanifuSanifu]],
* Kamusi ya Kiingereza -Kiswahili,
* [[Kamusi ya Kiswahili - Kiingereza]],
Mstari 18:
* Kamusi ya Sheria
* Kamusi ya Biashara na Uchumi
* Kamusi ya Tiba
* Kamusi Asisi ya Kiingereza - Kiswahili - Kiarabu
* Kamusi ya Biolojia Fizikia na Kemia
 
TUKI imehariri toleo la Kiswahili la "Historia Kuu ya Afrika" iliyotungwa na kamati ya wataalamu ya [[UNESCO]].