Mchirizo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|Mfano wa mchirizo '''Mchirizo''' ni tamko katika hisabati (jiometria) la kutaja mstari unaonama kama jinamizi au kuruba. Huelezwa pia kama taswira ya nj...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 14:47, 30 Septemba 2007

Mchirizo ni tamko katika hisabati (jiometria) la kutaja mstari unaonama kama jinamizi au kuruba.

Mfano wa mchirizo

Huelezwa pia kama taswira ya njia.

Mfano wa mchirizo ni duara ambayo ni mchirizo unaojifunga.