Pembenyingi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Pembenyingi''' ni umbo bapa lenye pande tatu au zaidi. Pembenyingi hutokea kama nukta kwenye tambarare zaunganishwa kwa mistari inayofunga eneo au maeneo ndani yao. Katika jiometria y...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 16:11, 30 Septemba 2007

Pembenyingi ni umbo bapa lenye pande tatu au zaidi.

Pembenyingi hutokea kama nukta kwenye tambarare zaunganishwa kwa mistari inayofunga eneo au maeneo ndani yao.

Katika jiometria ya tambarare pembenyingi sahili kabisa ni pembetatu.

Pembenyingi sahili haina mistari inayopandana. Ikipandana huitwa pembenyingi tata.

Mifano ya pembenyingi