Peter Kenneth : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nimeboresha makala
nimeboresha makala
Mstari 50:
Mkurugenzi wa biashara kutoka 1998 hadi 2001
 
===Zep Reinsurance Company===
 
Alikuwa mwenyekiti wa kampuni ya Zep rensurance tangu 1998 hadi 2009.
 
==Maisha ya kisiasa==
Kenneth alichaguliwa mara ya kwanza mbungeni kama mwakilishi wa eneo la mbunge [[Jimbo la Uchaguzi la Gatanga|Gatanga]] mnamo Desemba mwaka wa 2002 kwa tiketi ya [[National Rainbow Coalition|National rainbow coalition]]. Ameshudumu kataika wadhifa huu hadi sasa.<ref>[http://www.gatanga.com Gatanga Constituency]. Gatanga Constituency.</ref>
 
Amehudumu katika wizara kadhaa kama waziri msaidizi zikiwemo ni pamoja na; Wizara ya maendeleo ya ushirika na masoko kati ya Novemba 2003 hadi 2005, wizara ya fedha kati ya Desemba 2005 na 2007 na wizara ya nchi ya mipango, maendeleo ya Taifa na ''Vision 2030'' ambapo amehudumu tangia mwaka wa 2008 hadi sasa.
==Vyungo vya nje==
* [http://www.peterkenneth.com Tovuti rasmi]