Peter Kenneth : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nimeboresha makala
nimeboresha makala
Mstari 58:
 
Amehudumu katika wizara kadhaa kama waziri msaidizi zikiwemo ni pamoja na; Wizara ya maendeleo ya ushirika na masoko kati ya Novemba 2003 hadi 2005, wizara ya fedha kati ya Desemba 2005 na 2007 na wizara ya nchi ya mipango, maendeleo ya Taifa na ''Vision 2030'' ambapo amehudumu tangia mwaka wa 2008 hadi sasa.
===2007-2012===
Chini ya uongozi wa Peter Kenneth, eneo mbunge la Gatanga lilichaguliwa kama lililotumia pesa za Constituency Development Fund (CDF) kwa njia iliyo bora zaidi katika mwaka wa fedha wa 2011/2012.<ref>{{cite web |url= http://thejackalnews.com/index.php?dll=840&readmore=1 |title=Jackal News : We own News and Gossip |first= |last= |work=thejackalnews.com |year=May 8, 2012 |accessdate=16 July 2012}}</ref><ref>{{cite web |url= http://www.capitalfm.co.ke/news/2012/05/gatanga-still-tops-in-proper-cdf-use/ |title=Capital News » Gatanga still tops in proper CDF use |first=Simon |last=Ndonga |work=capitalfm.co.ke |year=2012, May 7 |publisher=Capital Broadcasting Network |accessdate=16 July 2012}}</ref>
 
==Vyungo vya nje==
* [http://www.peterkenneth.com Tovuti rasmi]