Peter Kenneth : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nimeboresha makala
nimeboresha makala
Mstari 60:
===2007-2012===
Chini ya uongozi wa Peter Kenneth, eneo mbunge la Gatanga lilichaguliwa kama lililotumia pesa za Constituency Development Fund (CDF) kwa njia iliyo bora zaidi katika mwaka wa fedha wa 2011/2012.<ref>{{cite web |url= http://thejackalnews.com/index.php?dll=840&readmore=1 |title=Jackal News : We own News and Gossip |first= |last= |work=thejackalnews.com |year=May 8, 2012 |accessdate=16 July 2012}}</ref><ref>{{cite web |url= http://www.capitalfm.co.ke/news/2012/05/gatanga-still-tops-in-proper-cdf-use/ |title=Capital News » Gatanga still tops in proper CDF use |first=Simon |last=Ndonga |work=capitalfm.co.ke |year=2012, May 7 |publisher=Capital Broadcasting Network |accessdate=16 July 2012}}</ref>
 
==Jitihada za kuwa Rais==
Alikuwa wa kwanza kati ya wagombeaji wote wa urais katika uchaguzi mkuu ujao wa Kenya unaotarajiwa kufanyika mwaka wa 2013.<ref>{{cite web |url= http://www.the-star.co.ke/national/national/53517-kenneth-releases-2012-manifesto |title=Peter Kenneth launches his 2012 manifesto |first=FRANCIS |last=MUREITHI |work=the-star.co.ke |year=2012 ,12 December |accessdate=16 July 2012}}</ref>Wakati wa uzinduzi wa kampeni zake hapo 2011, alisema angeweza kuwania kiti cha urais kwa tiketi ya chama cha Kenya National Congress. Aliahidi kuwa atahakikisha kwamba serikali yake itaangazia maswala kumi na tatu muhimu akichaguliwa kuwa rais wa nne wa Kenya.Maswala haya ni; Usalama wa Taifa, usalama wa chakula na miundombinu ya ajira, huduma za afya, elimu, utalii, kuboresha makazi duni, maji, kilimo, Waafrika wanaoishi ulaya, mazingira na viwanda.<ref>{{cite web |url= http://www.the-star.co.ke/national/national/53517-kenneth-releases-2012-manifesto |title=Peter Kenneth launches his 2012 manifesto |first=FRANCIS |last=MUREITHI |work=the-star.co.ke |year=2012 ,12 December |accessdate=16 July 2012}}</ref>
 
Ata mgombezi wa kwanza wa kiti cha urais amabaye hana jina la Kiafrika. Wakazi wa eneo mbunge la Gatanga katika siku za hapo awali walikuwa wanamwita muthungu (mzungu katika lugha ya kiswahili) kwa sababu ya kuwa yeye hukutana na kamati ya bunge ya Maendeleo saa 7:00 asubuhi.<ref>{{cite web |url= http://allafrica.com/stories/201108151119.html |title=allAfrica.com: Kenya: Why Peter Kenneth is 'Mzungu' to Kabogo |first=Kwendo |last=Opanga |work=allafrica.com |year=2011 13, August |accessdate=16 July 2012}}</ref>
 
==Vyungo vya nje==