Peter Kenneth : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Stephenwanjau alihamisha ukurasa wa Peter kenneth hadi Peter Kenneth: kurekebisha kichwa cha makala haya kutoka "Peter kenneth" hadi "Peter Kenneth"
nimeboresha makala
Mstari 65:
 
Ata mgombezi wa kwanza wa kiti cha urais amabaye hana jina la Kiafrika. Wakazi wa eneo mbunge la [[Jimbo la Uchaguzi la Gatanga|Gatanga]] katika siku za hapo awali walikuwa wanamwita muthungu (mzungu katika lugha ya kiswahili) kwa sababu ya kuwa yeye hukutana na kamati ya bunge ya Maendeleo saa 7:00 asubuhi.<ref>{{cite web |url= http://allafrica.com/stories/201108151119.html |title=allAfrica.com: Kenya: Why Peter Kenneth is 'Mzungu' to Kabogo |first=Kwendo |last=Opanga |work=allafrica.com |year=2011 13, August |accessdate=16 July 2012}}</ref>
 
==Maisha ya Faragha==
Anapenda Kilimo, Bima,biashara ya kujenga nyumba na Viwanda. Yeye pia ina mengi yanayo mhusisha na michezo, baada ya kuwa mwenyekiti wa Shirikisho la Soka Kenya mnamo 1996 hadi 2000 na kuwa mwakilishi katika Kamati ya FIFA (futsal) kuanzia mwaka 1998 hadi 2000.Kenneth alikuwa kipa alipokuwa bado katika shule na hata alikwenda kucheza katika Ligi Kuu ya Kenya kwenye timu ya Reunion FC. Baadaye alilazimishwa kujiuzulu kutoka kucheza kandanda baada ya kuvunjika kwenye mkono wake wa kulia.<ref>{{cite web |url= http://allafrica.com/stories/201206270168.html |title=allAfrica.com: Kenya: Kenneth Accuses State of Neglecting Sports |first=Brian |last=Otieno |work=allafrica.com |year=2012, 26 June |accessdate=16 July 2012}}</ref>
 
==Pia angalia==
[[Jimbo la Uchaguzi la Gatanga]]
 
==Vyungo vya nje==
Line 72 ⟶ 78:
* [https://www.linkedin.com/pub/peter-kenneth/29/4b2/66 Peter Kenneth ] katika [[LinkedIn]]
 
 
==Pia angalia==
[[Jimbo la Uchaguzi la Gatanga]]
 
==Virejeleo==