Georg von Bekesy : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (roboti Nyongeza: tr:Georg von Békésy
+image
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[File:Békéssy György.jpg|thumb|Georg von Bekesy]]
 
'''Georg von Bekesy''' ([[3 Juni]], [[1899]] – [[13 Juni]], [[1972]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Hungaria]]. Baadaye alihamia [[Marekani]]. Hasa alichunguza ma[[sikio]] ya binadamu. Mwaka wa [[1961]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Tiba]]'''.