John Cornforth : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza be:Джон Уоркап Корнфарт
+image
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[File:John Cornforth3.jpg|thumb|John Cornforth]]
 
'''John Warcup Cornforth''' (amezaliwa [[7 Septemba]], [[1917]]) ni mwanakemia kutoka nchi ya [[Australia]]. Pia ana uraia wa [[Uingereza]]. Hasa alichunguza athari za [[kimeng'enya|vimeng'enya]] kwa [[misombo ya kikaboni]]. Mwaka wa [[1975]], pamoja na [[Vladimir Prelog]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Kemia]]'''. Mwaka wa [[1977]] alipewa cheo cha "Sir".