Wasuni : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza ky:Сунниттер |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Islam by country.png|thumbnail|300px|Nchi za Waislamu wengi na madhehebu<br />Kibichi: Wasunni wengi; Nyekundu: Washia wengi]]
{{Islam}}
'''Wasunni''' ni [[dhehebu]] kubwa ndani ya dini ya [[Uislamu]]. Takriban asilimia 80 - 90 za Waislamu wote duniani hukadiriwa kuwa Wasunni na wengine 10-20 % huhesabiwa kati ya [[Washia]].
Wasunni huitwa kwa Kiarabu '''ahl ul-sunna''' ([[Kiarabu]]: '''أهل السنة'''; "watu wa mapokeo"). Neno Sunni
Isipokuwa [[Uajemi]], [[Iraki]], [[Bahrain]],
== Historia ==
Line 13 ⟶ 14:
Walimu wengine hasa katika kikundi cha [[Wawahabi]] kilichoanzishwa kati ya Wahanbali kimekaza mafundisho yake hadi kuwashtaki wengine kuwa si Waislamu wa kweli.
== Viungo vya Nje ==
|