Tofauti kati ya marekesbisho "Ugiriki"

41 bytes added ,  miaka 8 iliyopita
no edit summary
d (r2.7.2+) (Roboti: Imeongeza si:ග්‍රීසිය)
|footnotes = <sup>1<sup> Wananchi walikataza kurudi kwa ufalme tar. 8 Desemba 1974.<br /><sup>2</sup> Prior to 2001: [[Drachma|Greek Drachma]].<br />
}}
'''Ugiriki''' (pia: Uyunani; kigir.: Ελλάδα (elada) au Ελλάς (elas) ni nchi ya [[Ulaya]] Kusini-Mashariki katika kusini ya rasi ya [[Balkani]]. Imepakana na [[BulgariaAlbania]], [[Jamhuri ya Masedonia]], [[AlbaniaBulgaria]] na [[Uturuki]]. Upande wa kusini-magharibi na kusini-mashariki kuna pwani ndefu na [[Bahari ya Mediteranea]]. Baharini kuna visiwa vingi sana mabavyo ni sehemu za Ugiriki.
 
Upande wa kusini-magharibi na kusini-mashariki kuna pwani ndefu na [[Bahari ya Mediteranea]].
Ugiriki ni nchi yenye historia ndefu na maarufu sana inaitwa "nchi mama ya Ulaya".
 
Baharini kuna visiwa vingi sana ambavyo ni sehemu za Ugiriki.
Lugha ya [[Kigiriki]] inaendelea kuandikwa kwa [[Alfabeti ya Kigiriki]] inaotumiwa tangu miaka 3000 lakini lugha yenyewe imebadilika. Wagiriki wa leo hawaelewi tena [[Kigiriki cha Kale]] moja kwa moja.
 
Ugiriki ni nchi yenye historia ndefu na maarufu sana, hata inaitwa "nchi mama ya Ulaya".
 
[[Lugha]] ya [[Kigiriki]] inaendelea kuandikwa kwa [[Alfabeti ya Kigiriki]] inaotumiwa tangu miaka 3000, lakini lugha yenyewe imebadilika. Wagiriki wa leo hawaelewi tena [[Kigiriki cha Kale]] moja kwa moja.
 
Ugiriki ni nchi mwanachama wa [[Umoja wa Ulaya]] tangu [[1981]].
[[Jamii:Ugiriki|*]]
[[Jamii:Nchi za Ulaya]]
[[Jamii:Maeneo ya Biblia]]
 
{{Link FA|uk}}