Wagweno : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza no:Gweno
No edit summary
Mstari 1:
'''Wagweno''' ni kabila la [[Tanzania]] wanaoishi katika [[Mkoa wa Kilimanjaro]], upande wa Kaskazini wa [[Milima ya Upare]]. Lugha yao ni [[Kigweno]].inasemekana asiliyao wametoka maeneo ya Taita na Voi nchini kenya.kiasili wagweno ni katika jamii zilizo toka habeshi ya kale na ndio maana ukiangalia kwa makini tamaduni zao utaona kwamba hazifanani sana na wabantu bali na wahamitiki.tazama hata katika ngoma ya kigweno ambayo wanaiita mrangi[mwanzi]hawatumii ngoma kama wa Bantu.
SABABU YA WAO KUKIMBIA KENYA NA KUHAMIA TANZANIA YA LEO.
 
Kilicho wakimbiza huko kenya ya kale na kuhamia eneo linalojulikana kama milima ya ugweno kwa sasa ni vita vya wenyewe kwa wenyewe Taita na Voi.lakini kuna nadharia moja inayosema kwamba kabla wagweno hawajahamia rasmi katika milima hiyo ya upare walituma wapelelezi kwanza;walifika eneo husika na kisha wakaerudisha taarifa yao wakasema;Mringa ua khona[yaani mito ya huko inatoa sauti katika kutiririka kwake na hapo jina ugweno likazaliwa yaani kughona ni muungurumo.
{{mbegu-utamaduni-TZ}}
MILA NA DESTURI ZA WAGWENO.
{{DEFAULTSORT:Gweno}}
[[Jamii:Makabila ya Tanzania]]
 
[[en:Gweno language]]
[[eo:Gvenoj]]
[[no:Gweno]]