Tofauti kati ya marekesbisho "Muda sanifu wa dunia"

38 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
d
d (r2.7.3) (Roboti: Imeongeza vep:UTC)
[[Picha:Standard_time_zones_of_the_world.png|thumb|450px|Kanda muda duniani; namba zinaonyesha tofauti na saa ya Greenwich = meridiani ya sifuri]]
'''Muda sanifu wa dunia''' (kufupi cha kitaalamu ni '''UTC''' kwa "universal time coordinated") ni utaratibu wa kulinganisha saa na wakati kote duniani. Unarejea wakati kwenye [[longitudo]] ya [[Greenwich]] karibu na [[London]] na longitudo hii huitwa pia [[meridiani ya sifuri]].
 
== Hesabu ya muda kulingana na kanda ==
Kutokana na meridiani ya Greenwich dunia imegawiwa kwa [[kanda muda]] ambazo ni kwa sasa 40. Ndani ya kila kanda muda wa saa ni uleule. Saa ya Greenwich au [[meridiani sifuri]] ni wakati wa marejeo. Kutoka mstari wake kila mahali ina saa yake kama kuongezekewa au kupungukiwa kutoka wakati huu. Wakati wa Afrika ya Mashariki unatangulia masaa 3 mbele ya wakati wa Greenwich.
 
Nchi kubwa kama [[Urusi]] na Marekani huwa na kanda muda tofauti ndani ya taifa kati ya mashariki na magharibi; nchi ndogo zaidi kwa kawaida zimepangwa katika kanda ileile.
 
== Sababu za kugawa dunia kwa kanda muda ==
Kanda hizi ni mapatano ya kisiasa kwenye msingi wa kisayansi. Sababu yake ya kimsingi ni ya kwamba wakati uleule kuna mchana upande mmoja wa dunia na usiku upande mwingine. Mtanzania anayepiga simu saa mbili usiku yuko gizani lakini mwenzake New York yuko mchana akiona jua juu yake angani.
 
[[de:Koordinierte Weltzeit]]
[[diq:UTC]]
[[el:Συγχρονισμένος Παγκόσμιος Χρόνος]]
[[el:Coordinated Universal Time]]
[[en:Coordinated Universal Time]]
[[eo:UTC]]
43,953

edits