Benn Haidari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: Benn Haidari Kazaliwa tarehe 6 Mwezi wa March 1949 katika kijiji kimoja kinachoitwa Mbeni huko visiwa vya Komoro. Mjomba yake Maalim Said Ilyas akamchkuwa Zanzibar katika mwaka wa 1953. K...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 17:39, 3 Oktoba 2007

Benn Haidari Kazaliwa tarehe 6 Mwezi wa March 1949 katika kijiji kimoja kinachoitwa Mbeni huko visiwa vya Komoro. Mjomba yake Maalim Said Ilyas akamchkuwa Zanzibar katika mwaka wa 1953. Kamaliza masomo yake Fidel Castro Secondary School na kuhamiya Finland 1968. Bw. Haidari kasomeya mambo ya upishi kwenye visiwa vya Åland huko Finland na akawa katika mpishi mkubwa na wamwanzo wa kufanya filamu za mapishi katila Television za Scandanavia katika mwaka 1988. Film yake ya mwanzo ni ' Pengine nitakuwa mpishi wa pizza' na baadaye akafanya filmi 12 za mapishi ya duniya pamoja na mapishi ya kizanzibari ' Samaki wa kupaka ' na mkate wa kusukuma'. Mwaka 2005 Bw. Haidari alialikwa Ujapani Tokyo kuonesha mapishi yake katika television ya ujapani. Kitabu chake cha mwanzo cha mapishi kilikuja tarehe 25 Januari 2006. Kitabu hichi unaweza kukinunuwa katika Amazon.com.'http://www.amazon.co.uk/Modern-Zanzibar-Cuisine-Benn-Haidari/dp/1844015955/ref=pd_bbs_sr_1/202-7444478-0148628?ie=UTF8&s=books&qid=1190663653&sr=8-1

Bw. Haidari aligombaniya Ubunge katika visiwa vya Åland mwaka 2007.