Tofauti kati ya marekesbisho "Benn Haidari"

68 bytes added ,  miaka 14 iliyopita
kusahihisha kiasi tahajia
(New page: Benn Haidari Kazaliwa tarehe 6 Mwezi wa March 1949 katika kijiji kimoja kinachoitwa Mbeni huko visiwa vya Komoro. Mjomba yake Maalim Said Ilyas akamchkuwa Zanzibar katika mwaka wa 1953. K...)
 
(kusahihisha kiasi tahajia)
'''Benn Haidari''' Kazaliwaaliazaliwa tarehe 6 Mwezi wa MarchMachi 1949 katika kijiji kimoja kinachoitwacha Mbeni huko visiwa vya [[Komoro]]. Mjomba yake Maalim Said Ilyas akamchkuwaakamchukua [[Zanzibar]] katika mwaka wa 1953. KamalizaAkamaliza masomo yake Fidel Castro Secondary School na kuhamiya Finland[[Ufini]] 1968.
 
Bw. Haidari kasomeya mambo ya upishi kwenye [[visiwa vya ÅlandAland]] huko Finland na akawa katika mpishi mkubwa na wamwanzowa mwanzo wa kufanya filamu za mapishi katilakatika TelevisionTelevisheni za Scandanavia[[Skandanavia]] katika mwaka 1988.
Film yake ya mwanzo ni ' Pengine nitakuwa mpishi wa pizza' na baadaye akafanya filmi 12 za mapishi ya duniya pamoja na mapishi ya kizanzibari ' Samaki wa kupaka ' na mkate wa kusukuma'.
 
Film yake ya mwanzo ni ' Pengine nitakuwa mpishi wa pizza' na baadaye akafanya filmifilamu 12 za mapishi ya duniya pamoja na mapishi ya kizanzibari ' Samaki wa kupaka ' na mkate wa kusukuma'.
 
Mwaka 2005 Bw. Haidari alialikwa Ujapani Tokyo kuonesha mapishi yake katika television ya ujapani.
 
Kitabu chake cha mwanzo cha mapishi kilikuja tarehe 25 Januari 2006. Kitabu hichi unaweza kukinunuwa katika Amazon.com.'http://www.amazon.co.uk/Modern-Zanzibar-Cuisine-Benn-Haidari/dp/1844015955/ref=pd_bbs_sr_1/202-7444478-0148628?ie=UTF8&s=books&qid=1190663653&sr=8-1
Kitabu chake cha mwanzo cha mapishi kilikuja tarehe 25 Januari 2006.
 
Bw. Haidari aligombaniya Ubunge katika visiwa vya Åland mwaka 2007.
 
 
==Marejeo==
Kitabu chake cha mwanzo cha mapishi kilikuja tarehe 25 Januari 2006. Kitabu hichi unaweza kukinunuwa katika Amazon.com.'[http://www.amazon.co.uk/Modern-Zanzibar-Cuisine-Benn-Haidari/dp/1844015955/ref=pd_bbs_sr_1/202-7444478-0148628?ie=UTF8&s=books&qid=1190663653&sr=8-1 Modern-Zanzibar-Cuisine-Benn-Haidari]
 
[[Category:Watu wa Komori]]
[[Category:Watu wa Ufini]]