Tofauti kati ya marekesbisho "Benn Haidari"

12 bytes added ,  miaka 14 iliyopita
no edit summary
(kusahihisha kiasi tahajia)
'''Benn Haidari''' aliazaliwa tarehe 6 Machi 1949 katika kijiji cha Mbeni huko [[Ngazija]] visiwa vya [[Komoro]]. Mjomba yake Maalim Said Ilyas akamchukua [[Zanzibar]] katika mwaka wa 1953. Akamaliza masomo yake Fidel Castro Secondary School na kuhamiya [[Ufini]] 1968.
 
Bw. Haidari kasomeya mambo ya upishi kwenye [[visiwa vya Aland]] huko Finland na akawa katika mpishi mkubwa na wa mwanzo wa kufanya filamu za mapishi katika Televisheni za [[Skandanavia]] katika mwaka 1988.