Kiwavi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
'''Kiwavi''' ni hali ya [[metamofosisi]] ya [[mdudu]] wa oda ya [[Lepidoptera]] (wadudu kama [[kipepeo|vipepeo]]).
Kwa kawaida hula majani. Wakitokea kwa wingi, k.m. viwavijeshi, wanaweza kuharibu mimea na hasa mashamba.
 
Jinsi ilivyo kwa wadudu wengi maisha ya kiwavi hunanza kama [[yai]]. Inatoka kwa umbo la [[kiwavi]]. Baada ya muda kiwavi huwa [[buu]]. Ndani ya buu hugeuka kuwa kipepeo anayetoka na kutega mayai tena. Mzunguko huu kwa jumla ni metamofosisi.
 
{{mbegu}}