Historia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imebadilisha: ps:پېښليک
No edit summary
Mstari 1:
'''Historia''' ni somo kuhusu maisha ya [[binadamu]] na [[utamaduni]] wao wakati uliopita.

Mara nyingi neno ''historia''hilo lina pia ina maana ya maarifa yoyote kuhusu wakati uliopita, yawe au yasiwe maarifa ya watu (kwa mfano "historia ya ulimwengu").
 
Historia ni hasa mfululizo wa habari za mambo yaliyotokea pamoja na sababu zake.
 
Binadamu anaziandika ili kuelewa [[maisha]] yake, yaani ametokea wapi, amepata mafanikio gani na matatizo gani.
 
Historia inatufundisha kuishi: kumbukumbu za mambo ya zamani ([[vita]], [[uhuru]], viongozi na mengineyo) zinatuwezesha kuendelea vizuri zaidi.
 
Wanahistoria wanatoa maarifa yao kutoka [[andiko|maandiko]] ya zamani, kutoka [[fasihi simulizi]] na kutoka [[akiolojia]].
Line 7 ⟶ 15:
* [[Historia ya Afrika]]
* [[Historia ya Amerika]]
* [[Historia ya Asia]]
* [[Historia ya Australia]]
* [[Historia ya Ulaya]]
* [[Historia ya Wokovu]]
* [[Miaka]]
* [[Vita]]