Hildegarda wa Bingen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|200px|Hildegarda akipata [[njozi na kumsimulia karani wake.]] '''Hildegarda wa Bingen, O.S.B.''' ({{lang-de|link=no|...'
 
No edit summary
Mstari 2:
'''Hildegarda wa Bingen, [[O.S.B.]]''' ({{lang-de|link=no|Hildegard von Bingen}}; kwa [[Kilatini]] Hildegardis Bingensis) alikuwa [[mwanamke]] [[mmonaki]], [[mwanafalsafa]] na mtunzi wa vitabu vya aina mbalimbali kutoka [[Ujerumani]] wa leo([[Bermersheim vor der Höhe]], [[Dola Takatifu la Kiroma]], [[1098]] - [[Bingen am Rhein]] [[17 Septemba]] [[1179]]).<ref>Bennett, Judith M. and Hollister, Warren C. ''Medieval Europe: A Short History'' (New York: McGraw-Hill, 2001), 317.</ref>
 
Toka zamani [[abesi]] huyo anaheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]], [[Waanglikana]] na [[Walutheri]] kama [[mtakatifu]]. [[Papa Benedikto XVI]] amethibitisha [[utakatifu]] wake tarehe [[10 Mei]] [[2012]].,<ref>[http://www.uscatholic.org/news/2012/05/pope-recognizes-hildegard-saint-advances-causes-us-bishop-nun Catholic News Service]</ref><ref>[http://www.catholicculture.org/news/headlines/index.cfm?storyid=14287 Vatican newspaper explains 'equivalent canonization' of St Hildegard of Bingen]</ref> [[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe [[17 Septemba]].
 
==Filamu juu yake ==
Mstari 203:
[[Category:Wabenedikto]]
[[Category:Wanafalsafa wa Ujerumani]]
[[Category:WanafasihiWaandishi wa Ujerumani]]
[[Category:Wanateolojia wa Ujerumani]]
[[Category:Wanamuziki wa Ujerumani]]