Wabenedikto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza bar:Benediktinaordn
No edit summary
Mstari 9:
Maarufu sana ni mchango wao upande wa elimu, hasa katika kuokoa maandishi ya zamani na kuyanakili ili kurithisha utajiri wa ustaarabu wa Kigiriki na wa Kirumi pamoja na mapokeo ya Kikristo.
 
Wabenedikto walistawi katika [[Karne za Kati]], inavyoonyesha sensa ya monasteri 14,000 zilizohesabiwa kabla ya [[Mtaguso wa KonstanceKonstanz]] ([[1415]]), ambazo baadhi yake zilifikia kuwa na wamonaki zaidi ya 900.
 
Uanzishaji wa mashirika mapya, kama yale ya [[Wafransisko]] na [[Wadominiko]], ulipunguza umuhimu wao, bila ya kuwamaliza.
Mstari 20:
* [[Papa Gregori VII]] (1073-1085)
* [[Papa Viktor III]] (1086-1087)
* [[Papa UrbanoUrban II]] (1088)
* [[Papa Celestino V]] (1294)
* [[Papa Klementi VI]] (1342-1352)
 
 
== Muundo wa shirika ==
Line 42 ⟶ 41:
 
[[Jamii:Kanisa Katoliki]]
[[Jamii:WatawaWamonaki]]
[[Jamii:Wabenedikto]]
[[Jamii:Mashirika ya kitawa]]
 
[[an:Orden de Sant Benedet]]