Wakapuchini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza tr:Kapusenler
No edit summary
Mstari 1:
'''Wakapuchini''' ni watawa [[Wafransisko]] wa [[Kanisa Katoliki]].
 
Idadi yao inapita ndugu wanaume 10,000 duniani kote wakiongozwa na ndugu [[Mauro Jöhri]] wa kanda ya [[Uswisi]]. Ni shirika la kiume la nne kwa wingi wa watawa.
 
==Maana ya jina==
Jina linatokana na neno la [[Kiitalia]] "cappuccio", lenye maana ya kikofia kilichoshonwa kwenye kanzu yao ya rangi ya kahawia.
 
==Historia==
Tawi hilo lilianzishwa na [[Mathayo wa Bascio]] pamoja na [[Ludoviko wa Fossombrone]] na [[Rafaeli wa Fossombrone]], ambao walilenga maisha ya kifukara kuliko yaliyofuatwa na [[Ndugu Wadogo]] wenzao.
 
Line 11 ⟶ 13:
Baada ya hapo shirika likaenea na kuzaa matunda mengi ya utakatifu kuanzia bradha [[Felix wa Cantalice]] hadi [[Pio wa Pietrelcina]].
 
==Takwimu==
Mnamo tarehe [[31 Desemba]] [[2011]], Wakapuchini duniali walikuwa 10.364, kati yao ma[[padri]] 6.968. Wako katika nchi 106: [[Afrika]] 1321; [[Amerika ya Kilatini]] 1720; [[Amerika ya Kaskazini]] 662; [[Asia]]-[[Oceania]] 2283; [[Ulaya]] 4378.<ref><nowiki>'</nowiki>''Analecta Ordinis Fratrum Minorum Capuccinorum'', [[Roma]]</ref>
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
== Viungo vya nje ==
Line 16 ⟶ 23:
* {{web cite|url=http://www.newadvent.org/cathen/03320b.htm|title=Capuchin Friars Minor|work=[[Catholic Encyclopedia]]}}
 
[[Jamii:Kanisa KatolikiWafransisko]]
[[Jamii:Mashirika ya kitawa]]
[[jamii:Wafransisko]]
 
[[ar:الرهبنة الكبوشية]]