Scarlet Ortiz : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Scarlet Ortiz
Mstari 1:
[[Image:Scarlet Ortiz 3.jpg|thumb|right|160px|Muigizaji Scarlet Ortiz akiwa katika pozi.]]
'''Hevis Scarlet Ortiz Pacheco''' (Alizaliwa Tar. [[12 Machi]], [[1974]], [[Caracas]], [[Venezuela]]) Ni muigizaji wa [[filamu]] na tamthilia kutoka nchini [[venezuela]]. Anafamika zaidi kwa jina la Camila Montes de Alba katika tamthilia ya "Todo Sobre Camila" katika nchi mbili tofauti kati [[Peru]] na [[Venezuela]].
<br>Ortiz pia ameigiza tamthilia nyingi ukiacha ile ya Todo Sobre Camila, moja kati ya tamthilia alizoigiza kama vile 'Mi Vida Eres Tu' iliyochezwa mwaka [[2006]] nchini [[Venezuela]], Todos Quieren con Marilyn iliyochezwa nchini [[Kolombia]], Secreto de Amor iliyochezwa nchini kwao huko [[Venezuela]].
 
==Muhtsari wa Tamthilia Alizoigiza==
# ''Mi Vida Eres Tu'' - [[2006]], [[Venezuela]]-[[USA]]
# ''Todos Quieren con'' Marilyn - [[2004]], [[Colombia]]
# ''Todo Sobre Camila'' - [[2002]], [[Peru]]-[[Venezuela]]
# ''Secreto de Amor'' - [[2001]], [[Venezuela]]-[[USA]]
# ''Mis Tres Hermanas'' - [[2000]], [[Venezuela]]
# ''Yo Soy Betty la Fea'' - [[1999]], [[Colombia]]
# ''Niña Mimada'' - [[1998]], [[Venezuela]]
# ''Luisa Fernanda'' - [[1998]], [[Venezuela]]
# ''Llovizna'' - [[1997]], [[Venezuela]]
 
==Viungo vya Nje==
[http://www.freewebs.com/scarlet_ortiz Habazi na Picha za Scarlet]