Chekoslovakia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza jv:Cekoslowakia
d r2.7.3) (Robot: Modifying tl:Czechoslovakia to tl:Tsekoslobakya; cosmetic changes
Mstari 5:
Tangu [[1 Januari]] [[1993]] Chekoslovakia imegawiwa kwa amani kuwa nchi mbili za '''Jamhuri ya Kicheki ''' na '''Jamhuri ya Slovakia'''.
 
Chekoslovakia ilianzishwa 1918 baada ya kuporomoka kwa [[Austria-Hungaria]] wakati wa mwisho wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]]. Iliunganisha majimbo [[Bohemia]] na [[Moravia]] yaliyokaliwa na Wacheki upande wa [[Austria]] na maeneo ya [[Hungaria]] yaliyokaliwa na Waslovakia.
 
Chekoslovakia ilikuwa nchi ya mataifa na utamaduni mbalimbali. Mataifa makubwa yalikuwa Wacheki (51,5 % ), Wajerumani (23,4 %) na Waslovakia (14 %) pamoja na vikundi vikubwa kidigo vya Wahungaria, Waukraine, Waromani na Wapoland.
 
Mwaka [[1938]] dikteta [[Adolf Hitler]] wa [[Ujerumani]] alivamia sehemu za Ucheki. Slovakia ikawa nchi ya kujitegemea chini ya Ujerumani.
Mstari 16:
 
{{mbegu-jio-Ulaya}}
<!-- interwiki -->
 
[[Jamii:Nchi ya Kihistoria ya Ulaya]]
Line 22 ⟶ 23:
 
{{Link FA|eo}}
<!-- interwiki -->
 
[[af:Tsjeggo-Slowakye]]
Mstari 107:
[[ta:செக்கோசிலோவாக்கியா]]
[[th:ประเทศเชโกสโลวาเกีย]]
[[tl:CzechoslovakiaTsekoslobakya]]
[[tr:Çekoslovakya]]
[[uk:Чехословаччина]]