Tofauti kati ya marekesbisho "Musoma (mji)"

20 bytes added ,  miaka 9 iliyopita
d
r2.7.3) (Roboti: Imeongeza mn:Мусома; cosmetic changes
d (r2.7.3) (Roboti: Imeongeza lt:Musoma)
d (r2.7.3) (Roboti: Imeongeza mn:Мусома; cosmetic changes)
}}
'''Musoma''' ni mji wa [[Tanzania]] uliopo kando ya mashariki ya [[Ziwa Viktoria]] inapakana na Wilaya ya Rorya kwa upande wa Kaskazini. Ni makao makuu ya [[Mkoa wa Mara]]. Musoma ina [[Halmashauri]] mbili ambazo ni [[Halmashauri ya Manispaa ya Musoma]] na [[Halmashauri ya Wilaya ya Musoma]]. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa mji huo ilihesabiwa kuwa 108,242 <ref>[http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/musomaurban.htm Matokeo ya sensa ya 2002 kwa mkoa wa Mara]</ref>.
[[pichaPicha:Musoma_Seeufer.jpg|thumb|left|Tembo beach]]
== Marejeo na Viungo vya Nje ==
* <references/>
[[ko:무소마]]
[[lt:Musoma]]
[[mn:Мусома]]
[[nl:Musoma]]
[[no:Musoma]]
44,109

edits