Nasaba ya Sui : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Nasaba ya Sui''' ilikuwa nasaba ya kifalme ya Uchina. Ilidumu kuanzia mwaka wa 581 hadi 618. Nasaba hiyo ilikuwa na Makaisari wawili tu: [[Kaisari Wen-ti wa Uchi...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 07:12, 5 Oktoba 2007

Nasaba ya Sui ilikuwa nasaba ya kifalme ya Uchina. Ilidumu kuanzia mwaka wa 581 hadi 618. Nasaba hiyo ilikuwa na Makaisari wawili tu: Wen-ti, na Yang-ti.

Angalia pia