Jordano Ansalone : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:ChristianMartyrsOfNagasaki.jpg|thumb|right|Mchoro wa Kijapani ukiwaonyesha [[Wafiadini wa Nagasaki]], [[karne ya 16]] na ya [[karne ya 17|17]].]]
'''Giacinto Giordano Ansalone, [[O.P.]]''' ([[1598]] – [[17 Novemba]] [[1634]]) alikuwa [[padri]] [[mmisionari]] kutoka [[Italia]] na mmojawapo kati ya [[Wakristo]] wa [[Kanisa Katoliki]] waliofia [[dini]] nchini [[Japani]].