Kiwavi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 2:
[[Image:Caterpillar at 5th stage.jpg|thumb|240px|Kiwavi cha kipepeo cha Opodiphthera eucalypti]]
 
'''Kiwavi''' ni hali ya [[metamofosisi]] ya [[mdudu]] wa oda ya [[Lepidoptera]] (wadudu kama [[kipepeo|vipepeo]] na [[nondo]]).
Kwa kawaida hula majani. Wakitokea kwa wingi, k.m. viwavijeshi, wanaweza kuharibu mimea na hasa mashamba.