Alibhai Mulla Jeevanjee : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
anza makala
 
boresha makala
Mstari 1:
Alibhai Mulla Jeevanjee (1856-1939) alikuwa mfanya biashara Mhindi ambaye alizaliwa [[Pakistan]] iliyokuwa sehemu ya [[India]]. Alihamia [[Mombasa]] nchini [[Kenya]] katika [[Afrika ya Mashariki]] mwaka wa 1890 baada ya kukaa [[Australia]] kwa miaka michache.<ref name="Metcalf2007">{{cite book|author=Thomas R. Metcalf|title=Imperial Connections: India in the Indian Ocean Arena, 1860-1920|url=http://books.google.com/books?id=-snyl2br6ssC&pg=PA199|accessdate=29 July 2012|date=24 April 2007|publisher=University of California Press|isbn=978-0-520-24946-2|pages=199–}}</ref>Alianza shughuli zake za urasirimali katika Karachi nchini Pakistan kabla ya kuhamia Afrika Mashariki. Mnamo 1895, A M Jeevanjee wa Karachi - kama alivyoitwa wakati huo, alipewa kandarasi ya kutafuta wafanyikazi na kampuni ya Imperial British East Africa iliyokuwa imepewa kandarasi ya kujenga reli.Wengi wa wafanyikazi hawa walitoka eneo la Punjab huko India. Kundi la kwanza kufika lilikuwa na jumla ya watu 350 na idadi iliongezeka kwa miaka sita ijayo na kufikia jumla ya wafanyikazi 31,895. Wengi wao walikuwa Sikhs, Wahindi na Waislamu ambao walifanya kazi kama vibarua wenye ujuzi, mafundi, [[mwashi|waashi]], [[seremala|maseremala]], washonaji, mafundi wa mashine na waweka umeme.<ref name="IIAS Newsletter">{{cite web|last=Amarjit|first=Chandan|title=Punjabis in East Africa|url=https://openaccess.leidenuniv.nl/bitstream/handle/1887/12793/IIAS_NL43_1819.pdf?sequence=1|work=I A S N e w s l e t t e r|accessdate=29 July 2012|coauthors=# 4 3|year=S p r i n g 2 0 0 7}}</ref>
<br/>Baadaye alifuatilia uana biashara kwa kufungua tawi la ofisi yake [[Karachi]] katika mji wa [[Mombasa]]. Alianza kufanya biashara zingine katika mkoa huo baada ya kusimamia ujenzi wa reli. Na ilianza kusambaza vifaa ambayo ni pamoja na chakula kwa wafanyikazi hao waliokuwa wanajenga reli.Kampuni yake pia ilipewa kandarasi za kujenga ofisi za serikali, vituo vya reli na ofisi za posta.<ref name="Metcalf2007"/>