Alibhai Mulla Jeevanjee : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
nimeboresha makala |
nimerekebisha lugha |
||
Mstari 6:
Wakati ujenzi wa reli ya Kenya-Uganda ilifika [[ziwa Victoria]], Jeevanjee alizindua ''Africa standard'' ambayo ilikuwa gazeti ya kila wiki. Alikuwa ameajiri mhariri mwandishi, W.H. Tiller ambaye kazi yake ilikuwa kusimamia shughuli za gazeti hilo.Mnamo 1905, aliuza ''Africa standard'' kwa wafanyabiashara wawili wa Uingereza ambao walibadili jina la gazeti hilo kuwa ''East African Standard''. Baadaye mnamo 1910 gazeti hili likawa la kila siku na likahamisha makao yake makuu kutoka Mombasa hadi [[Nairobi]] ambao ulikuwa kituo cha kibiashara.<ref>{{cite web |url= http://www.britannica.com/EBchecked/topic/562965/The-Standard#ref754408 |title=The Standard (Kenyan newspaper) -- Britannica Online Encyclopedia |first= |last= |work=britannica.com |year=2012 |accessdate=29 July 2012}}</ref>
==Bustani ya Jeevanjee==
Alianza kujenga Bustani ya Jeevanjee mnamo 1904 ambayo baadaye alipeana kwa watu wa Nairobi mwaka wa 1906 kama mahali pa kupumzika.<ref name="Patel2002">{{cite book|author=Zarina Patel|title=Alibhai Mulla Jeevanjee|url=http://books.google.com/books?id=LD8OBiNV_l8C|accessdate=29 July 2012|year=2002|publisher=East African Publishers|isbn=978-9966-25-111-4}}</ref>Bustani
==Pia tazama==
|